ocr: Bonyeza neno kwenye orodha na usikilize kwa makini. Bonyeza neno au picha usikilize tena. Kama imo maikrofoni kwenye kompyuta, unaweza kujirikodi. Bonyeza kifungo chekundu na useme sawasawa. Bonyeza "kipanya' ukitaka kusita kujirikodi. Kisha bonyeza kifungo cha buluu na ulinganishe.